ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, February 5, 2018

AFISA KILIMO WILAYA YA IGUNGA AMCHOMA MKURUGENZI MBELE YA WAZIRI TIZEBA.


WAZIRI WA KILIMO, Charles Tizeba ameagiza Wataalam wa Ugani na Maofisa Kilimo 60 kutoka wizarani kwake na Chuo cha Kilimo na Taasisi ya Utafiti Ukiriguru kupelekwa mikoa inayolima pamba kusaidia unyunyiziaji wa dawa za kuua wadudu.
Licha ya juhudi hizo za Serikali kupitia Bodi ya Pamba kuona zao hilo linalimwa kwa tija ili kuleta manufaa kwa mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla imebainika kuwa bado baadhi ya watendaji wa Halmashauri wameonekana kutotii maagizo na matumizi yaliyokusudiwa kwa baadhi ya vitendea kazi na uwezeshaji ili kupata matokeo chanya.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.