Jeshi la polisi jijini mwanza linamshikilia mtu mmoja Joseph Mbagata mkazi wa Mabati jijini humo kwa tuhuma za kujifanya daktari na kuwaibia wagonjwa katika hospitali ya mkoa Sekoture.
ADEM Yawataka Wahitimu Kuwa Mabalozi wa Uzalendo
-
NA EMMANUEL MBATILO, BAGAMOYO
WAHITIMU wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) wametakiwa kuwa
mstari wa mbele katika kusimamia masuala mtambuko...
0 comments:
Post a Comment