Sunday, December 03, 2017
HABARI
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema mapema leo asubuhi na Mbunge wa
Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, na waombolezaji wengine wachache
wamehudhuria mazishi ya mbwa wa Nassari aliyeuawa na watu wasiojulikana
baada ya kuvamiwa nyumbani kwake na kumpiga risasi.
Mazishi hayo yamefanyika huko huko Arumeru.Mbwa huyo alikuwa ni mlinzi
wa Nassari nyumbani kwake ambapo amesikitishwa na kifo cha mnyama huyo
aliyekuwa rafiki wake wa karibu.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.