ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, December 3, 2017

KIWANGO CHA MAAMBUKIZI VIRUSI VYA UKIMWI MKOA WA MWANZA CHAONGEZEKA


Kiwango cha maambukizi ya virusi vya UKIMWI mkoani Mza kimetajwa kuongezeka kutoka asilimia 4.2 mwaka 2011/2012 hadi asilimia 7.2 mwaka 2016/2017 hali inayoashiria kuzorota kwa mapambano dhidi ya UKIMWI mkoani humo.  

Akizungumza mara baada ya kupima UKIMWI Mkuu wa mkoa wa Mza JOHN MONGELA amewataka wananchi kila mmoja kuona ana wajibu  wa kupambana na UKIMWI na kutumia fursa zilizopo ikiwa ni pamoja na matibabu bila malipo ili kuhakikisha Maambukizi ya UKIMWI yanapungua kama siyo kumalizika kabisa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.