Dakika ya 80' kazi nzuri ya Gabriel Michael inamsaidia Emmanuel Martin kupasia nyavu kwa mara ya pili.
Ball possession #Yanga 57 43 Mbeya City . .
Chirwa kaondoka na mpira mara baada ya kutupia magoli ma 3 nyavuni mwa Mbeya City. .
Hadi dakika 90zinamalizika Yanga inatoka kifua mbele kwa ushindi wa goli 5-0 dhidi ya Mbeya City.
#SportsRipoti
#SportsRipoti
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.