SAA kadhaa zilizopita, spika wa bunge la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu . Kumekuwa na shangwe miongoni mwa wabunge kufuatia tangazo hilo.
Nao wananchi wakikusanyika barabarani na kupiga shangwe wakisherehekea hatua hiyo.
Hii ina tafsiri kwamba wengi raia wa nchi hiyo walikuwa wakiisubiri sana muda huo ufike na wao kusikia tamani ya mioyo yao. Mama huu anasimulia huku akilia machozi ya furaha kwa hatua hiyo.
Harakati za kumuondoa madarakani rais huyo kupitia bunge zimesitishwa.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.