ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, October 15, 2017

PICHA ZA IBADA YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 18 YA HAYATI BABA WA TAIFA ILIYOFANYIKA BUTIAMA MKOANI MARA.

Padre Aloyce Magabe akiongoza ibada ya kumbukumbu ya miaka 18 ya Baba wa Taifa hayati Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika Katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Damu Azizi ya Yesu Jimbo la Musoma Parokia ya Butiama..
Kwaya ilihudumu.
Neno likasomwa.
Viti hivi ni mahala aliketi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kushoto) na kulia huketi Mama Maria Nyerere katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Damu Azizi ya Yesu Jimbo la Musoma Parokia ya Butiama.
Watu wa mataifa mbalimbali nao wamehudhuria ibada hiyo.
Eneo la ibada.
Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Bi. Rosemary Nyerere (mwenye nguo ya blue katikati) akishiriki na waumini wengine kwenye ibada hiyo iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Damu Azizi ya Yesu Jimbo la Musoma Parokia ya Butiama.
Sehemu ya waumini.
Jiografia na sehemu ya kanisa na umati ulioshiriki ibada hiyo.
Neno likasomwa.
Ushirika mtakatifu.
  Padre Aloyce Magabe akiongoza ibada ya kumbukumbu ya miaka 18 ya Baba wa Taifa hayati Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika Katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Damu Azizi ya Yesu Jimbo la Musoma Parokia ya Butiama.
Mwimbieni Bwana.
Sala.
Mwanahabari Albert G. Sengo akizungumza na Mzee aliyekuwa msaidizi wa Kazi na Shughuli mbalimbali nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Julius Nyerere na kutokana na uchapakazi wake, Nyerere aliamua kumpa jina la 'Mkuu wa mkoa' ana umri wa miaka 70 na ushee na yuko fiti fuatilia Blog Hii utapata kujua kwa undani historia yake na mahusiano aliyokuwa nayo na Mwalimu.
Nje ya Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Damu Azizi ya Yesu Jimbo la Musoma Parokia ya Butiama.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.