Familia ya mbunge wa Singida mashariki na
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu,
imelilalamikia jeshi la polisi la nchi hiyo kutokana na hatua yake ya
kuchelewa katika kufanya uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi ndugu yao.
Kwa
mujibu wa wanafamilia hao, kwa kuzingatia kuwa awali Lissu alikuwa
ameelezea suala la yeye kufuatiliwa na watu wasiojilikana, hivyo
kufahamika kwa wahusika wake ni jambo lepesi.
Siku ambayo Tundu Lissu alipigwa risasi. |
Mwandishi wetu silvano kayera kutoka Dar es salaam Tanzania anataarifa zaidi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.