WILAYANI SENGEREMA
SERIKALI imeshauriwa kuendelea kutoa elimu na mkazo kwa wananchi hususani waishio maeneo ya vijijini juu ya haki ya mtoto wa kike, sanjari na wananchi nao kutoa taarifa pindi wanapoona vitendo au viashiria vya ukatili dhidi ya watoto wa kike.
Hayo yamebainishwa na wananchi wilayani Sengerema mkoani Mwanza pindi walipo zukiwa na kamera zetu katika viunga mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuchukuwa maoni juu ya Siku ya mtoto wa kike duniani inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 11 mwezi October.
JIJINI MWANZA MAADHIMISHO YALIKUWAJE?
Mkufunzi wa mafunzo kwa watoto wafanyakazi wa nyumbani katika Kata ya Buhingwa Jijini Mwanza, akifafanua jambo wakati wa mafunzo hayo hii leo. Mafunzo hayo yafanyika kwenye ukumbi kwa kanisa la AICT Buhingwa kuanzia jana na yatafikia tamati kesho Oktoba 12,2017.
Mwanasheria Joseph ambaye ni mkufunzi wa mafunzo hayo
Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo yaliyoanza jana katika Kata ya Buhongwa Jijini Mwanza akiuliza swali
Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo yaliyoanza jana katika Kata ya Buhongwa Jijini Mwanza akiuliza swali
Washiriki wa mafunzo hayo katika Kanda ya Buhongwa Jijini Mwanza
Washiriki wa mafunzo hayo katika Kanda ya Buhongwa Jijini Mwanza
Mratibu wa WoteSawa, Cecilia Nyangasi (kushoto) akifafanua jambo wakati wa mafunzo hayo
Afisa kutoka shirika la WoteSawa la Jijini Mwanza
Suzana John, mshiriki wa mafunzo hayo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.