Tunachukua fursa hii kutoa pole kwa naibu waziri wa ardhi, nyumba na
maendeleo ya makazi na mbunge wa Ilemela mhe Angelina Mabula kwa
wananchi wake sita kuvamiwa na kujeruhiwa na Chui jana eneo la Kabangaja
kata ya bugogwa jimboni Ilemela.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment