Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikutana na wakuu wa mikoa wote katika kikao kilichohudhuriwa pia na
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, baadhi ya mawaziri na
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju Ikulu jijini Dar es salaam
leo Juni 13, 2017
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.