Timu zikingia uwanjani.
Mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela akisalimiana na wachezaji wa timu ya Yanga.
Mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mbao Fc.
Mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mbao Fc.
Timu ya soka ya Mbao Fc (pichani) yenye maskani yake mitaa ya Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza kwa mara nyingine imepeleka kilio mitaa ya Jangwani Jijini Dar es salaam baada ya kuitungua bao 1-0 timu ya Yanga kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2016/17, kupitia kwa mchezaji wake Habib Haji dk 25 kipindi cha kwanza.
Kikosi cha Yanga
Salam salaam.
Kikombe cha mshindi wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017
Hata hivyo licha ya ushindi huo wa Mbao Fc, timu ya Yanga imetangazwa bingwa wa ligi hiyo, baada ya mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.