Na nchini Burundi uhaba wa fuel kwa ajili ya vyombo
vya usafiri umeendelea kushuhudiwa licha ya serikali ya Bujumbura
kuchukua hatua kadhaa ikiwemo kupitisha sharia mpya za ugavi wa nishati
hiyo.
Kutokana
na hali hiyo, bei za usafiri nayo imeonekana kupanda kinyume na
ilivyozoeleka. Hayo yanajiri katika hali ambayo, machafuko ya kisiasa
yanatajwa kupungua kwa kiasi, ikilinganishwa na kipindi cha miaka miwili
iliyopita, hasa baada ya kuibuka mgogogro wa kisiasa uliosababishwa na
hatua ya Rais Nkurunziza kugombea kwa muhula wa tatu katika uchaguzi wa
rais uliopita.
Foleni zikiendelea kushuhudiwa katika vituo vya uuzaji mafuta Burundi. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.