Yanga Sports Club imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Goli maridadi lilifungwa na Aubrey Chirwa katika dakika ya70. Ushindi huo unaipeleka Yanga Kileleni kwa muda huku ikisubiri matokeo ya Simba dhidi ya Kagera Sukari.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.