ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 13, 2017

RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR DKT SHEIN ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA MAZUNGUMZO NA JPM.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein walipokutana kwa mazungumzo Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Jumatatu Machi 13, 2017. 

Picha na IKULU


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.