Pam D alisema mzazi wake alikuwa mmoja kati ya watu muhimu katika kipaji chake cha muziki, kwa kuwa na yeye aliwahi kuwa msanii.
Kupitia mandao wa Instagram Pam D ameandika "R.I.P Papaa, my lovely father kipenzi changu rafiki yangu mkubwa, mtani wangu mkubwa, umeondoka umeniacha mwenyewe, nilitamani vitu vingi uje uone kutoka kwa mwanao"
"Nani atanipigia gitaa tena Papaa, maumivu uloniachia na pengo uliliniachia hakuna wa kuliziba. Umeondoka mapema mno papaa, Mungu akuweke mahala pema peponi" Aliongeza Pam D.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.