TANGAZO.
|
CHAMA CHA MADAKTARI WANAWAKE TANZANIA (MEWATA) KWA
KUSHIRIKIANA NA BRISTOL MYERS SQUIBB FOUNDATION (BMSF), WIZARA YA AFYA,
MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, NA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA
KITAFANYA ZOEZI LA UCHUNGUZI WA AWALI WA SARATANI YA MATITI
NA MABADILIKO YA AWALI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI, KATIKA MKOA WA MWANZA.
UFUNGUZI RASMI UTAFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA FURAHISHA SIKU
YA JUMANNE TAREHE 15 NOVEMBA 2016. MGENI RASMI KATIKA ZOEZI HILI NI MAKAMU WA
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN.
HUDUMA ZITAFANYIKA KAMA IFUATAVYO;
- WILAYA YA ILEMELA VIWANJA VYA FURAHISHA NA KITUO CHA AFYA KARUME TAREHE 15 NA 16 NOVEMBA 2016
- WILAYA YA NYAMAGANA KITUO CHA AFYA MAKONGORO NA KITUO CHA AFYA CHA IGOMA
HUDUMA ZOTE ZITAANZA KUANZIA SAA MOJA KAMILI ASUBUH
HUDUMA HII MUHIMU
ITAKAYOTOLEWA BURE.
“NANI
KAMA MAMA”
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.