ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, October 26, 2016

KAMBI YA MISS TANZANIA 2016 YATEMBELEA MRADI WA KUSAIDIA WAZEE WA THE ANGELINE FOUNDATION WA MBUNGE WA ILEMELA


Katibu wa Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Ilemela Henry James (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Nitetee Foundation Flora Lauwo, wakati Washiriki wa kinyang'anyiro cha Miss Tanzania walipotembelea Kituo cha Afya Sangabuye na kutoa Misaada ya mashuka yenye thamani ya shilingi milioni 15 kutoka kwa Mradi wa Mbunge wa Ilemela uitwao Angelina Foundation.
BOFYA PLAY KUSIKILIZA KILICHOJIRI
Washiriki Miss Tanzania 2016 wakiwa wamejumuika na wazee wa Kata ya Kayenze kwenye kituo cha Afya walipowatembelea mapema leo.
Mama, Baba, Bibi na Babu kusanyikoni. 
Mwenyekiti wa Sangabuye akifunguka juu ya changamoto za kata yake.
 BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Vijiji vya Sangabuye na Kayenze vinachangamoto nyingi sana kuanzia vituo vya afya, matibabu madhubuti na changamoto za barabara.
Wanakijiji kusanyikoni.
Warembo washiriki Miss Tanzania na picha ya bibi zetu.
Mwaaaa....Nani kama mama.
Hadithi hadithi.
Picha ya Pamoja.
Kusanyikoni.
Maneno ya busara.
Ukaguzi na kutembelea mazingira...
Pia wadau wa Miss Tanzania wakiwa wameambatana na viongozi waandamizi walitumia fursa ya safari hiyo kufanya matembezi kuyafahamu mazingira ya kituo.
Ilemela Oyeeeee....
Picha ya pamoja.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.