| Mwenyekiti wa Bodi ya SOS Tanzania Mama Getrude Mongela akiwapungia mkono wadau waliojitokeza kwenye kusanyiko hilo la ufunguzi wa kituo mkoani Mwanza. |
| Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela "Tusipoondoa umaskini kwa watoto nchi itatikisika" |
| Wahisani. |
| Sala. |
| Sala. |
| Watoto wa kituo cha SOS Mahina Mwanza walisisimua na nyimbo zao zenye ujumbe. |
| Ngoma ya muziki asili ikichagiza. |
| Watoto wanapoliteka jukwaa. |
| Tuzo ya Heshima kwa walezi ilienda kwa mama mlezi kituo cha SOS Zanzibar |
| Tuzo ya heshima. |
| Warembo washiriki wa kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 nao walihudhuria kusanyiko hilo. |
| Wadau:- Watumishi toka dini na madhehebu mbalimbali wamejumuika, nao wafanyabiashara hawako nyuma. |
| Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongera akishiriki upandaji miti eneo la kituo cha SOS Childrens Villages Tanzania huku akipewa tafu na washiriki wa kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016. |
| Mama Getrude Mongela akishiriki upandaji miti eneo la kituo cha SOS Childrens Villages Tanzania huku akipewa tafu na washiriki wa kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 pamoja na watoto wa kituo.. |
| Nyumba kituo cha SOS mkoani Mwanza. |
| Nyumba kituo cha SOS Childrens Villages Tanzania tawi la Mwanza. |
| Humu kuna huduma zote muhimu. |
| Mwanahabari wa Blog Hii Zephania Mandia akitafuata angle ya muonekano kwa njia ya video. |
| Waalikwa walipata fursa ya kukagua mazingira. |
| Ndani ya vyumba. |
| Vitanda na mazingira ya ndani. |
| Jikoni kwa kila nyumba ambayo uhudumiwa na mama mmoja akiwa anapewa usaidizi na shangazi. |
| Koo pale linapochemka.......hapa ndipo kituoni. |
| Picha kwaajili ya kumbukumbu ya kusanyiko. |
| Rolf Rakken yu mmoj wa wafadhiri wakuu. |
| Mbele ya jiwe la msingi picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela, Viongozi pamoja na Wajumbe wa Bodi SOS. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment