ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 13, 2016

YALIYOJIRI HII LEO BUNGENI DODOMA.


Je,shirika la UNHCR linampango wowote wa kujenga wodi za wagonjwa katika hospitali ya wilaya ya Kibondo? Haya hapa ni majibu ya serikali.


Serikali yatolea ufafanuzi kuhusu suala la uhaba wa walimu wa masomo maalum katika halmashauri ya Muleba mkoani Kagera.


Je, serikali inampango gani wa kuboresha malipo ya watumishi wa sekta ya afya? Naibu waziri Angellah Kairuki anatoa ufafanuzi hapa.
       

Serikali inampango gani wa kulipa madeni inayodaiwa na  watumishi wa umma? Haya hapa ni majibu ya serikali.


Je,Serikali inafiria nini kujenga kiwanda cha kusindika mazao mkoani Tanga? Naibu waziri Ole Nasha anajibu swali la Mhe. Adadi Rajabu.


Ni lini serikali itatatua tatizo la maji katika jimbo la Tabora Kaskazini? Naibu waziri wa maji Isack Kamwele anajibu swali la Mhe.Almasi Maige.

Hii Hapa ni kauli ya waziri wa mambo ya ndani Mhe. Mwigulu Nchemba akielezea suala la gereza la Ilagala kutoa ardhi kwa wakazi wa Ilagala.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.