1. WAKULIMA WA KOROSHO KATIKA MKOA WA RUVUMA WAKIPATA ELIMU KUPITIA VIPEPERUSHI VILIVYO ANDALIWA NA WAKALA WA VIPIMO WAKATI WA ZOEZI LA UTOAJI ELIMU.
2.MENEJA WA WAKALA WA VIPIMO MKOANI MTWARA AUGUSTINE MAZIKU AKIWAONESHA WAKULIMA WA KOROSHO, MKOANI HUMO KUSOMA KWA USAHIHI MIZANI ILIYO HAKIKIWA NA WAKALA WA VIPIMO
Naomba kuwasilisha kwenu wadau, habari hii na picha kwa ajili ya vyombo vyetu tuujuze umma.
3. ALFA MTUI AFISA VIPIMO MWANDAMIZI, AKITOA ELIMU KWA WAKULIMA WA KOROSHO MKOANI RUVUMA NAMNA YAKUTAMBUA MIZANI ILIYO HAKIKIWA NA KURUHUSIWA KUTUMIKA NA WAKALA WA VIPIMO.
4. MENEJA WA WAKALA WA VIPIMO MKOANI MTWARA BWANA AUGUSTINE MAZIKU AKIJIBU MASWALI KUTOKA KWA WAKULIMA WALIOKUWA WAMEFIKA KUPATIWA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA MIZANI ILIYO HAKIKIWA NA WAKALA WA VIPIMO KABLA YA MSIMU WA UNUNUZI WA KOROSHO KUANZA.
5. MENEJA WA WAKALA WA VIPIMO MKOANI RUVUMA BW. HALLET HASSAN AKITOA ELIMU KWA WAKULIMA WA KOROSHO MKOANI HUMO KABLA YA MSIMU KUANZA ILI KUEPUSHA KUZULUMIWA NA WANUNUZI WASIO WAAMINIFU. (Picha zote na Iren John).
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.