Mchezo ukiendelea ndani ya dimba la CCM Kambarage mjini Shinyanga baina ya Stand United V mbao Fc. |
Timu zote zilicheza mchezo wa kukamiana, nao mabeki wakifanya kila liwezekanalo kuweka ukuta wa nguvu kuhakikisha hakuna makosa yanayoweza kuleta madhara. |
Licha ya uchanga wao Mbao Fc wamecheza soka tamu na la kuvutia lenye pasi fupifupi kiasi cha kuwastaajabisha wengi kwamba hii ndiyo mara yake ya kwanza kutinga Ligi kuu soka Tanzania Bara. |
Ndni ya dimba la CCM Kambarage. |
Mshambuliaji wa Mbao Fc mbele ya ukuta wa Stand United. |
Kasi ya mchezo na umakini. |
Kachomoka huyo.... |
Kosakosa langoni mwa Stand United V Mbao Fc. |
Jukwaa kuu macho kwenye kandanda. |
Hata hivyo kwa mabadiliko ya Stand United, yaiyofanyika kipindi cha pili hayakuleta matokeo ya ziada. |
Mbao Fc. |
Toka Mwanza hawa ni mashabiki wa Mbao Fc na hii ndiyo kona yao. |
Utawala wa soka na hisia za wapenzi wa soka. |
Hadi dakika 90 za mchezo zinamalizika. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.