Mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki Eric Omondi kulia akiwa na mwanahabari wa Jembe Fm G.Sengo mapema leo katika kipindi cha 'Kazi na Ngoma' . Eric Omondi anatarajiwa kufanya tumbuizo la kiburudani usiku waleo ndani ya jiji la Mwanza katika ukumbi wa Nyerere Hotel Gold Crest. Kiingilio ni shilingi 50,000/=. |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.