Askari aliyemuua Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi akutwa na hatia.
Haya ndio maamuzi ya Mahakama kuu Kanda ya Iringa baada ya kumkuta na hatia askari Pasificus Cleophace Simon kwa kosa la kuua bila kukusudia aliyekuwa mwandishi wa habari Daudi Mwangosi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.