Marehemu Silas amepatikana kando mwa Ziwa Victoria katika Mwalo wa Kamanga wilaya ya Nyamagana Mwanza mjini ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakija fahamika.
Hali aliyokutwa nayo marehemu:- Amekutwa kifua wazi (hana shati) bali suruali pekee na viatu mfukoni akiwa na Simu na Pesa.
Tupe maoni yako

0 comments:
Post a Comment