Ukawa wakitoka nje ya Bunge wakiwa namevaa mavazi meusi na kushika mabango yenye ujumbe mbalimbali.
Wabunge wa upinzani watoka nje ya Bunge wakiwa wamevaa mavazi Meusi na kubeba mabango yenye ujumbe unaopinga ukiukwaji wa Demokrasia ndani ya Bunge hilo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.