Mhe.Dt. Mary Nagu aililia seriakli juu ya upungufu wa watumishi wa afya pamoja na vifaa tiba katika wilaya ya Hanang.
Mbunge wa Korogwe mjini Mhe.Chatanda aihoji serikali juu ya kuunganisha mji wa Korogwe na viunga vyake katika gridi ya taifa;
Mhe.Makilagi aibana wizara ya fedha juu ya ucheleweshaji wa fedha za miradi ya maendeleo kutotolewa kwa wakati kwa wananchi.
Mh. Jafo akijibu swali la Mbunge wa viti maalum Mhe.Kemilembe kuhusiana na ununuzi wa vifaa tiba katika hospitali ya Sekouture.
Mh.Marwa mbunge wa Serengeti asimamia kidete ujenzi wa miundombinu katika hifadhi ya mbuga ya Serengeti.
SIMU.TV: Mhe. Masala aitaka serikali kueleza hatma ya tafiti za madini zinazofanywa na makampuni tofautitofauti wilayani Nachingwea; https://youtu.be/dMMtGhHpCvM
SIMU.TV: Mh.Ester Matiko aitaka serikali kutoa maelezo ya kina juu ya wananchi wa kata za Tarime ambao hawakulipwa fidia za ardhi yao; https://youtu.be/edcSd-IKYZE
SIMU.TV: Suala la wananchi wanaougua ugonjwa wa saratani kuchelewa kupatiwa huduma katika hospitali ya Ocean Road laibuliwa bungeni; https://youtu.be/SlOr_OkfX3E
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.