March 10,2016
SHINYANGA
Jamii nchini imetakiwa kupiga vita vitendo vya unyanyasaji kwa watu wenye ulemavu wa ngozi Albino vinavyofanywa dhidi yao kwa kuwa vitendo hivyo ni ukiukwaji wa haki za binadamu na vinaliletea Taifa sifa mbaya.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.