ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 21, 2016

ZANZIBAR NI DR. SHEIN TENA 2015-2020



Mkurugenzi Wa Uchaguzi Wa Atoa Angalizo.

Mkurugenzi wa uchaguzi wa Zanzibar Ndg. Salim Kassim atoa angalizo kabla ya kutangazwa mshindi wa kiti cha urais wa Zanzibar.   


Mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Jecha Salim Jecha atoa shukrani kwa makundi mbalimbali yaliyofanikisha uchaguzi huo.   


Mwenyekiti ZEC athibitisha kutokupokea taarifa ya maandishi zilizotiwa saini za wagombea waliojitoa katika uchaguzi.   


Hii hapa taarifa ya kamili ya matokeo kwa wagombea urais wa Zanzibar katika uchaguzi wa marudio.    


Fuatilia matokeo ya uchaguzi wa marejeo yakirushwa moja kwa moja kutoka Salama Hall Bwawani  visiwani Zanzibar;  


Mh.Shein akipokea shahada ya ushindi kutoka kwa mwenyekiti wa ZEC  na kisha kuwashukuru wananchi waliojitokeza kumpigia kura.  


Sikiliza alichokiongea Rais Shein juu ya adhma na msimamo wake  katika kuijenga Zanzibar mpya;  


Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha akitoa neno la shukrani kwa vyama vilivyoshiriki katika uchaguzi wa marejeo.
Kura Halali 341,865 
Kura zilizo haribika 13,538 
Kura halali 328,327 
Idadi ya wapiga kura 503,580 
Idadi ya ambao hawakupiga kura 161,715 

Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa na ZEC Dr. Ali Mohamed Shein ndiye mshindi wa kinyang'anyiro cha u-Rais wa Zanzibar akipata kura 299,982 sawa na asilimia 91.4 Akifuatiwa na Hamad Rashid Mohamed kura 9,734 sawa na asilimia 3.0 wa tatu ni Seif Sharif Hamad kura 6,076 sawa na asilimia 1.9 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.