ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 14, 2016

HALI TETE VISIWANI ZANZIBAR.

Visiwani Zanzibara Chama cha wananchi CUF kimesema baadhi ya wanachama wake kisiwani Pemba wameanza kukimbilia maporini wakitafuta uwezekano wa kutoroka kisiwani humo na kukimbilia Mombasa nchini Kenya kutafuta hifadhi ya ukimbizi kwa madai ya kuwepo kwa taharuki na kamata kamata inayoendelea dhidi ya watu wanaodaiwa kuhusika na matukio ya kuchoma moto kwa baadhi ya nyumba ikiwa ni siku chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa marudio.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.