Rais mstaafu Jakaya Kikwete aipongeza serikali ya awamu ya 5 kwa kutekeleza ilani ya CCM ndani ya siku chache za utawala wa rais Magufuli. Rais Magufuli ameeleza kuwa serikali yake imedhamiria kufanya kazi na ametoa agizo kwa viongozi wote kuondoa kero za wananchi.
0 comments:
Post a Comment