Kutana na mwenyekiti wa waandishi wa habari wanaoandika habari za masuala ya madawa ya kulevya mkoani Mwanza Edwin Soko, pamoja na mwandishi wa kituo cha redio ya Chuo cha SAUT Martin Mnyoni wakikuhabarisha kuhusu utendaji wa waandishi wa habari mwaka 2015. Vipi utendaji wa vyombo vya habari. Ufanisi wa mitandao ya kijamii unatathimini gani kwa mwaka 2015 - 2016?
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
0 comments:
Post a Comment