Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif, avunja ukimya na kuzungumzia kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar huku akitoa msimamo wa chama chake. WAKATI HUO HUO...
Serikali ya Zanzibar Yatoa Tahadhari
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imeonya juu ya wananchi wenye nia ya kuharibu sherehe za maadhimisho ya mapinduzi zinazo tarajiwa kufanyika hapo kesho.
0 comments:
Post a Comment