Rais Magufuli ashiriki katika misa ya kuadhimisha sikukuu ya Krismasi katika kanisa la Mt. Petro Oystabay jijini Dar Es Salaam. Rais Magufuli ametuma salamu na heri ya sikukuu ya krismasi kwa Watanzania wote na kuwataka kufuata misingi ya dini na kudumisha upendo.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
0 comments:
Post a Comment