ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, December 23, 2015

MEGA TRADE YASABABISHA TABASAMU KWA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU MWANZA.

Watoto waishio mazingira magumu wa kituo cha malezi cha Upendo kilichopo Nyegezi wilayani Nyamagani mkoani Mwanza wakishusha zawadi zao za sikukuu ya Krismasi walizoletewa na Kampuni ya kutengeneza vinywaji ya Mega Trade kama sehemu ya kusababisha tabasamu kwa watoto hao kwenye msimu huu wa sikukuu.
BOFYA PLAY KUSHUHUDIA YALIYOJIRI.

Uwajibikaji.
Meneja msaidizi wa Kituo cha kulea watoto waishio mazingira magumu cha Upendo kilichopo Nyegezi wilayani Nyamagani mkoani Mwanza, Pascal Mpemba (kushoto) akipokea mafuta ya kula na vyakula toka kwa wadau wa Mega Trade kama zawadi kwa sikukuu ya Krismasi.
Ni msaada wenye thamani ya shilingi milioni tatu toka kwa kampuni ya Mega Trade ambao umeambatanisha unga wa mahindi, mafuta ya kupikia, mchele, unga wa ngano, juice, maji ya kunywa, soda, mafuta ya kujipaka, sabuni na bidhaa nyingine muhimu.
Sababisha tabasamu.
Meneja msaidizi wa Kituo cha kulea watoto waishio mazingira magumu cha Upendo kilichopo Nyegezi wilayani Nyamagani mkoani Mwanza, Pascal Mpemba (kulia) akikabidhi cheti cha shukurani kwa Meneja Mauzo wa Mega Trade James Njuu.
Meneja msaidizi wa Kituo cha kulea watoto waishio mazingira magumu cha Upendo kilichopo Nyegezi wilayani Nyamagani mkoani Mwanza, Pascal Mpemba (kulia) akikabidhi cheti cha shukurani kwa Mwenyekiti wa Shirika la kusimamia uwezeshaji kwa jamii (TEDA) Bi Joyce Malima. 
Team Mega Trade.
Ni msaada kwa watoto wa kituo cha Upendo toka kwa Kampuni ya Mega Trade.
Malezi ya watoto yako mikononi mwa wazazi, lakini suala la Elimu Serikali ya awamu ya 5 chini ya Jemedani Rais John Pombe Magufuli imetoa waraka wa kuruhusu elimu ya msingi hadi sekondari kutolewa bila malipo.

Vituo vinavyolea na kutunza watoto wanaoishi katika mazingira magumu vinakabiliwa na changamoto kubwa ya kupata rasilimali fedha na tatizo la kisaikolojia.
Picha ya pamoja.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.