**SATURDAY EXPRESS** Ajali mbaya ya kusikitisha imetokea jana 25/Dec2015 majira ya saa 12 asubuhi eneo la Soni Lushoto Tanga na watu wapatao 4 kufariki na majeruhi 105 baada ya lori walilokuwa wakisafiria Kutoka Korogwe kwenda Mugwashi wilayani Lushoto kuacha njia na kupinduka. Gari hilo aina ya Mitsubish Fuso lenye namba za usajili T 326 ADE lilipinduka baada ya dereva wa Gari hilo kushindwa kulimudu kutokana na mwendo kasi na likatumbukia kwenye korongo.... ZAIDI TAARIFA IFUATAYO.
"Tunaweza kuishi bila misaada" - Msigwa
-
Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, amesema nchi hiyo inaweza
kusimama kwa miguu yake bila misaada, ingawa amekiri misaada ni muhimu na
inahita...
0 comments:
Post a Comment