Wafanyakazi wa Vodacom,Kana ya Kaskazini wakisikiliza kwa makini maelezo ya Lisa Wolker (hayupo pichani). |
Baadhi ya Kompyuta zilizotolewa na Kampuni ya Vodacom kama msaada wa shule ya sekondari ya Shimbwe iliyopo wilayani Moshi vijijini. |
Mkuu wa Vodacom kanda ya Kaskazini ,Henry Tzamburakisi akizungumza jambo na mkuu wa shule ya sekondari Shimbwe,Jacob Costantine alipotembelea darasa la Kompyuta shuleni hapo. |
Mmoja wa wafanyakazi wa shirika lisilo la kiserikali la Learning Insync akijaribu kuunganisha nyaya katika darasa la kompyuta lilopo shule ya sekondari Shimbwe iliyopo Uru wilaya ya Moshi vijijini. |
Lisa Wolker akitoa maelekezo kwa walimu na wanafunzi. |
Walimu na wanafunzi katika shule hiyo wakisikiliza kwa makini. |
Mafunzo juu ya matumizi ya Programu maalumu ya kufundishia na kujifunzia yakiendelea katika darasa la Kompyuta katika shule ya sekondari ya Shimbwe. |
Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Tzamburakisi akielekeza jambo kwa wananfunzi. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.