*Mapambano ya rushwa na ufisadi ameahidi kwa wananchi na kilichobaki utekelezaji.
*Nimeahidi kuunda mahakama ya Rushwa na ufisadi naamini hawataniangusha katika hili sitakuwa na kigugumizi.
*Wafanyakazi wazembe... Hatuwezi kulea watu ambao wanalipwa mishahara tu wakati hawafanyi kazi yeyote.
*Nitadhibiti warsha ambazo hazina umuhimu katika Serikali yetu wala kuongeza ufanisi kwa wafanyakazi.
*Naahidi kudhibiti Safari za nje ambazo zimekuwa zikigharimu Serikali Fedha nyingi ambazo zingeweza kutumika katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo..
*Serikali ya awamu ya 5 itaongeza wigo katika ukusanyaji wa mapato ukizingatia kuwa kodi ni kitu muhimu na nilazima zikusanywe.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.