| Usiku huu toka ofisi za halmashauri ya wilaya ya Ilemela eneo ambalo makusanyo ya kura zote yanafanywa ulinzi umeimarishwa nao waandishi wakisubiri kutoa taarifa kwa umma. |
| Vituo mbalimbali vinawasilisha masanduku ya kura baada ya kuzihesabu toka vituo husika na matokeo kubandikwa kwenye ubao wa matangazo ya vituo. |
| Usala wa Masanduku ya kura mkono mkono na mawakala. |
| Masanduku yanashushwa. |
Tupe maoni yako


0 comments:
Post a Comment