Bao za Egypt zilifungwa na Basem Morsi, Bao 2, na mbili za Mohamed Salah.
Bao la Chad lilifungwa na Nadjim Haroum.
Juzi, katika Mechi nyingine ya Kundi G iliyochezwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Tanzania na Nigeria zilitoka 0-0.
Matokeo hayo ya Mechi za pili kwa kila Timu kwenye Kundi G yameifanya Egypt iongoze ikiwa na Pointi 6 wakifuata Nigeria wenye Pointi 4, Tanzania wana Pointi 1 na mkiani wapo Chad wenye Pointi 0.
Washindivwa kila Kundi na Washindi wa Pili Bora Wawili watatinga Fainali huko Gabon Mwaka 2017.
Mechi zinazofuata za Kundi G ni Machi 2016 ambapo Nigeria itakuwa Nyumbani kucheza na Egypt na Tanzania watakuwa Wageni wa Chad.
AFCON 2017
Jumapili Septemba 6
MATOKEO:
Mauritius 1 Mozambique 0
Madagascar 0 Angola 0
Lesotho 1 Algeria 3
Kenya 1 Zambia 2
Swaziland 2 Malawi 2
Zimbabwe 1 Guinea 1
CAR 2 Congo DR 0
Sierra Leone 0 Ivory Coast 0
Benin 1 Mali 1
Gambia 0 Cameroun 1
Libya 1 Cape Verde 2
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.