Hapa ilikuwa ni mapema kabisa ambapo washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula msimu wa Nne wakiwa wanajikusanya kwa ajili ya kupewa mwongozo wa siku nzima. |
Kundi la pili wakiendelea kutoa Elimu ya Kilimo kwa Wanakijiji . |
Kundi la tatu wakiendelea kutoa elimu na kubadilishana mawazo na wanakijiji wa kijiji cha Kisanga. |
Mmoja wa Washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula , Regina kalipi(Katavi) akiwa ameshikiriwa na washiriki wenzake baada ya kuanguka akisoma Lisara iliyokuwa inahusu kilimo. |
Katikati ni Winnie Malya Mshiriki kutoka Kilimanjaro akisoma Lisara kwa wanakijiji ambao hawapo Pichani juu ya kilimo. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.