MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja ametangaza rasmi kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Mgeja ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa leo ametangaza rasmi kujiunga na CHADEMA mbele ya wanahabari jijini Dar es salaam ambapo ametumia kauli ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliyoitoa mwaka 1995 alipozungumzia haja ya chama hicho kujisahihisha kwamba " Watanzania wanahitaji mabadiliko na wasipoyapata ndaniya CCM watayatafuta nje ya CCM"
Mgeja ni mmoja wa wanachama waliokuwa mstari wa mbele katika kumuunga mkono Edward Lowassa katika mbio za kuomba ridhaa ya CCM kugombea urais.

Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.