|
Diamond Platnumz amechukua Tuzo ya Best Live Act ambayo ilikua
ikishindaniwa na wasanii wengine wa Nigeria Mr Flour, Mikasa, Big Nuz na
Too fan. |
|
Diamond Platnumz amechukua Tuzo ya Best Live Act ambayo ilikua
ikishindaniwa na wasanii wengine wa Nigeria Mr Flour, Mikasa, Big Nuz na
Too fan. |
|
Diamond Platnumz akitoa shukurani zake mara baada ya kuitwaa tuzo ya Best Live Act |
ALICHOSEMA DIAMOND MARA BAADA YA KUTWAA TUZO.
|
Shukran Kubwa sana Zimfikie Mwenyezi Mungu kwa Tuzo hii, na
pia Shukran za Dhati Ziwafikie Wadau, Media, Wasanii na Mashabiki zangu
wote kwa kunipigia kura na Kuhamasisha kwa Nguvu…Niushkuru sana Uongozi
wangu, Familia pamoja na Team nzima ya @wcb_wasafi hususan Madancers
wangu kwani Naamini wao ndio wamenipika nikapikika hadi leo hii kuweza
kuletaTunzo hii Nzito ya Mtumbwizaji Bora Africa, Nyumbani…lakini
pia Shukrani za kipekee zimfikie Mama yangu kipenzi Sandra kwa Mafunzo
na Malezi anayonipa kila siku juu ya Dunia….na Shukran tena za kipekee
na aina yake zimfikie Roho yangu, Kipenzi Changu @zarithebosslady Kwa
raha na Usingizi mwanana anipatiao na kunifanya nizidi kutunga na kuwa
M’bunifu kwenye kazi.. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.