Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge anayemaliza muda wake,Philemoni Ndesamburoakizungumza wakati wa mkutano huo. |
Katibu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi mjini,Joel Makwaia akizungumza katika mkutano wa Chadema alipoalikwa kukiwakilisha chama chake. |
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo. |
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya Moshi mjini,Leonard Buberwa akizungungumza akati wa mkutano wa kumpata mgombea wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini. |
Watia nia katika nafasi ya Ubunge jimbo la Moshi mjini,Basil Lema,(kushoto) Jafary Michael (katikati) na wakili wa kujitegemea ,Elikunda Kipoko wakiwa ukumbini kabla ya zoezi la uchaguzi kuanza. |
Mbunge wa iti maalumu,Chadema,Lucy Owenya alikuwa ni miongoni mwa wagombea wa nafasi ya Ubunge aliyejitokeza kutetea kiti chake. |
Wajumbe wa mkutano wakishangilia mara baada ya kutangazwa kwa matokeo. |
Msimaizi wa Uchaguzi ,katibu wa baraza la wanawake mkoa wa Kilimanjaro ,Helga Mchomvu akitangaza matokeo katika uchaguzi huo ambao mgombea Basil Lema aliamua kujitoa kabla ya kura kupigwa. |
Mtia nia aliyetangazwa mshindi Jafary Michael akiwa na mkewe katika ukumbi wa Umoja Hotel ambako uchaguzi huo ulifanyika. |
Mmoja wa wagombea wa nafasi hiyo aliyepata kura 9 ,Elikunda Kipoko akizungumza na kuwashukuru wajumbe kwa wale waliompigia kura . |
Jafary Michael aliye chaguliwa na Chadema kupeperusha Bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwezi oktoba katika kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Moshi mjini. |
Michael aliyekuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,akimtambulisha mkewe mbele ya wapiga kura. |
Mgombea wa nafasi ya viti maalumu ,Lucy Owenya akiwashukuru wajumbe wa mkutano huo kwa kumuamini na kumchagua tena kupeperusha bendera ya chama hicho kupitia viti maalum. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.