|
Mkuu wa Kitengo cha Saratani Hospitali ya Rufaa Bugando. |
SIKU ya
saratani imeadhimishwa mkoani Mwanza kwa uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya
Bugando kukutanana waandishi wa habari kwa lengo la kuelezea mikakati
inayofanywa na hospitali hiyo katika kuimarisha tiba ya Saratani.
Maadhimisho
hayo yamefanyika wakati huu ambapo idadi ya wagonjwa wa Saratani ikiongezeka
katika mikoa ya kanda ya ziwa.
Dr. Nestory
Masalu ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Saratani Hospitali ya Rufaa ya Bugando anabainisha
kasi ya ongozeko la wagonjwa. (BOFYA PLAY KUSIKILIZA)
|
Mmoja kati ya waathitika wa kansa. |
Moja kati ya
vichocheo vinavyosababisha ongezeko la idadi ya wagonjwa wa Saratani ni pamoja
na... (BOFYA PLAY KUSIKILIZA)
|
Sehemu ya madaktari kitengo cha upasuaji hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza wakisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa na vitengo mbalimbali. |
|
Wataalamu. |
|
Jengo la matibabu ya Saratani ndani ya Hospitali ya Rufaa Bugando. |
Hospitali ya Bugando tayari imekwisha kamilisha ujenzi wa jengo la matibabu ya Saratani lililogharimu jumla ya Fedha za Kimarekani dola bilioni 7, Je Nini jitihada zaidi kuhakikisha huduma zinaanza katika hospitali hiyo. (BOFYA PLAY KUSIKILIZA)
Asilimia 60 ya wagonjwa wa Saratani nchini wanatoka katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.
|
Sehemu ya madaktari kitengo cha upasuaji hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza wakisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa na vitengo mbalimbali. |
|
Lango kuu la jengo la Hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza. |
|
Kutoka mbali muonekano wa jengo kuu la Hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.