ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, November 5, 2014

RIPOTI SAKATA LA IPTL IMEKAMILIKA TAYARI IPO MIKONONI MWA WAZIRI MKUU KUWASILISHWA BUNGE HIVI KARIBUNI

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (TAKUKURU), Dkt. Edward Hoseah akijibu maswali ya waandishi wa habari mara baada ya Uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za kuzuia na kupambana  na rushwa kwa nchi za SADC uliozinduliwa tarehe 3/11/2014 Hotel Malaika jijini Mwanza.
SWALI KA KWANZA lilikuwa:- Mheshimiwa Rais JK kasema kuwa sasa kuna haja ya Serikali kuwa na wataalamu wa kada maalum ya kupambana na suala la Rushwa nchini, Taasisi ya TAKUKURU inalizungumziaje suala hilo? BOFYA PLAY KUSIKILIZA JIBU

SWALI LA PILI:- Tunaambiwa kuwa nchi za wahisani zimekataa kuleta misaada nchini kutokana na sakata la fedha za IPTL, Jeh! ripoti imekamilika na inaenda lini Bungeni? SWALI LA TATU:-Changamoto imejitokeza kuhusu Rushwa kubwa na Rushwa ndogo, mgongano wa kuendesha keshi kati ya ofisi ya DPP na ofisi ya TAKUKURU ambapo mpaka sasa hivi bado kuna rushwa nchini hili unalizungumziaje? BOFYA PLAY KUSIKILIZA MAJIBU


SWALI LA NNE:- Kuna taarifa zinatoka kila kukicha kuhusu wimbi la Rushwa hususani ngazi za chini kwa watendaji wa karibu na huduma muhimu za jamii (Local level) ambapo hivi karibuni Halmashauri ya jiji la Mwanza nayo imetajwa. Jeh TAKUKURU inalisemea vpi suala hilo ambalo linaumiza wengi? BOFYA PLAY KUSIKILIZA JIBU


SWALI LA TANO:- Kuna maswali mengi yaawaumiza vichwa wananchi juu ya mwenendo wa kuwabaini watuhumiwa wa Rushwa na Mafisadi wanaotafuna fedha za Serikali, sawa wanabainika, wanatajwa lakini hatua zaidi kuwafikisha mahakamani hazionekani hii inamaanisha nini? BOFYA PLAY KUSIKILIZA JIBU

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.