Washindi nafasi ya pili NMB Mwanza katika picha ya pamoja kabla ya kuvaana na SAUT. |
Patashika langoni mwa NMB Mwanza. |
Kasi, ufundi, umakini vimevuta hisia za mashabiki viwanja vya Raila Odinga Chuo cha SAUT Mwanza katika michuano ya Bonanza la Sports Xtra kwa mkoa wa Mwanza. |
Patashika langoni mwa SAUT pale ambapo NMB Mwanza walipo lishambulia kama nyuki. |
Kasi kuuwania mpira. |
Mashabiki wengine hakuna kukaa mwanzo mwisho. |
Jiografia ya ground husika. |
Macho ya mashabiki kwenye mchezo waupendao. |
Dakika za mchezo zilimalizika na sasa mikwaju ya penati ndiyo mpango mzima hapa mchezaji wa SAUT alifanikiwa kuutumbukiza mpira kimiani. |
Penati ya akili sana toka kwa mchezaji wa NMB Mwanza. |
Sehemu ya mashabiki na macho kwenye mchezo waupendao (SOKA). |
Ni mashabiki wa Chuo cha SAUT Mwanza wakiwa wamembeba golikipa wao aliye pangua penati ya mwisho ya nahodha wa NMB Mwanza Hassan Mtalemwa. |
"SAUT, SAUT, SAUT" ndiyo wimbo unaosikika hapa. |
SAUT na kombe lao la ubingwa Bonanza la Sports Xtra Day 2014 Mwanza. |
Mashabiki wa NMB Mwanza pamoja na baadhi ya wachezaji hawakusita kushangilia eti kisa kufungwa fainali, tena kwa makusudi walimbeba nahodha wao Mtalemwa akiwa na kombe la nafasi ya pili. |
Mbwiga wa Mbwiguke (wa pili kutoka kushoto) akiwa na mashabiki wake. |
Kikosi cha Sports Xtra kilichoenguliwa kwa taaaaaaaaaabu katika mchezo wa nusu fainali kwa njia ngumu ya mikwaju ya penati 2 - 3 dhidi ya NMB Mwanza. |
Kikosi cha VODACOM Mwanza licha ya kuonyesha soka tamu la kuvutia kiling'oka katika ngazi ya nusu fainali kwa penati 4 - 5 dhidi ya SAUT. |
Kikosi cha washirika wengine muhimu sana kwenye Bonanza la Sports Xtra Day 2014 Mwanza Advans Bank. |
Kikosi cha washirika wa karibu sana moja kati ya wadhamini wa kipindi cha Sports Xtra Clouds fm, Tigo Mwanza katika picha ya pamoja. |
Mwisho ilikuwa ni kujipongeza kwa kupata msosi makini huku tukiwa na nyuzi za Binslum. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.