MADAKTARI BINGWA WA OPERESHENI ZA UBONGO, KICHWA, MGONGO NA MISHIPA YA FAHAMU TOKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI (MOI) NA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI BINGWA WA HOSPITALI YA BUGANDO CHINI YA UFADHILI WA AFRICAN BARRICK GOLD MINING LEO WAMEANZA KUFANYA MATIBABU NA UPASUAJI WA KICHWA NA MGONGO BILA MALIPO (BURE) KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO JIJINI MWANZA.
HUDUMA HII IMEANZA RASMI LEO TAREHE 24/03/2014 HADI TAREHE 8/03/2014 (ITADUMU KWA MUDA WA WIKI MOJA).
KWA UWEZO WA MUNGU ALIYEWAWEZESHA MADAKTARI WETU, WATU WANAPONA.
WALE WOTE WENYE MATATIZO HAYO:- NDUGU, WATOTO, WAZAZI AU JAMAA WENYE MARADHI HAYO WAMESHAURIWA KUFIKA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA BUGANDO KWAAJILI YA KUPATA TIBA YA UPASUAJI AMBAYO INAFANYIKA BILA MALIPO, NARUDIA TENA BUREEEE!!!!!!
JALI AFYA YAKO NJOO UPATE TIBA.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.