Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ally Mohammed Shein kwa makubaliano na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete wametangaza kesho (jumatatu 13jan2014) kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Hayo yamesemwa na Dr. Shein katika hotuba yake ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi katika Uwanja wa Amani Zanzibar mchana wa leo.!
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.