ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, November 5, 2013

AIRTEL TRA ZAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WALIPA KODI WIKI YA MLIPA KODI

Kutoka kulia ni Key Account Manager wa Airtel Tanzania, Prudence Lukuye, akimuonyesha simu mfanyakazi mwenzake Anna Ernest ili ampatie Afisa Utawala wa TRA, Godwin Mnkeni (mwenye tai) wakati wakitoa elimu juu ya matumizi ya bidhaa mbali mbali za Airtel ikiwemo jinsi ya kufanya malipo ya kodi kwa wateja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambapo Airtel pamoja na TRA wamekubalina kufanya kazi pamoja kwa kuwasaidia Watanzania kufanya malipo yao kwa simu za mkononi kupitia kampeni ya TRA Magari. Pembeni kushoto ni mfanyakazi wa Aitel, Joseph Swai akitoa elimu kwa Katibu Muhtasi wa TRA, Mwassi Mukami. Maonyesho hayo yalifanyika jana makau makuu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam.
Kutoka kulia ni Key Account Manager wa Airtel Tanzania, Prudence Lukuye, akimkabidhi zawadi toka   Airtel ikiwemo modem ya Airtel kwa Mkurungenzi Msaidizi wa Utawala TRA, Bw. Magelan Sakinoi wakati wafanyakazi wa Airtel walipoenda kutoa elimu elimu juu ya matumizi ya bidhaa mbali mbali za Airtel ikiwemo jinsi ya kufanya malipo ya kodi kwa wateja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambapo Airtel pamoja na TRA wamekubalina kufanya kazi pamoja kwa kuwasaidia Watanzania kufanya malipo yao kwa simu za mkononi kupitia kampeni ya TRA Magari. Maonyesho hayo yalifanyika jana makau makuu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Airtel Tanzania, Joseph Swai (kulia) na Anna Ernest wakitoa elimu kwa Katibu Muhtasi wa TRA, Valentina Nyangamile na mmoja ya wateja  wakati wakitoa elimu juu ya matumizi ya bidhaa mbali mbali za Airtel ikiwemo jinsi ya kufanya malipo ya kodi kwa wateja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambapo Airtel pamoja na TRA wamekubalina kufanya kazi pamoja kwa kuwasaidia Watanzania kufanya malipo yao kwa simu za mkononi kupitia kampeni ya TRA Magari. Maonyesho hayo yalifanyika jana makau makuu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.